Kikosi cha Yanga kimeondoka jijini Dar es salaam kuelekea DR Congo wanakokabiliwa na mchezo wa raundi ya tatu hatua ya makundi ligi ya mabingwa barani Afrika dhidi ya TP Mazembe
Mchezo huo utapigwa Jumamosi, Disemba 14 katika uwanja unaomilikiwa wenyeji wao TP Mazembe
Yanga imeweka hadharani majina ya wachezaji waliosafiri




