Local,Normal News,Yanga, Mazembe

Yanga yaokota alama moja Lubumbashi

Joel JJ By Joel JJ
β€’
14 Dec 2024
Yanga yaokota alama moja Lubumbashi

Alama moja muhimu imepatikana Lubumbashi baada ya sare ya bao 1-1 dhidi ya TP Mazembe katika mchezo wa raundi ya tatu hatua ya makundi ligi ya mabingwa barani Afrika

Bao la dakika za lala salama lililofungwa na Prince Dube limeihakikishia Yanga kuondoka na alama moja Congo katika mchezo ambao pengine Yanga ingeweza kuibuka na ushindi kama umakini katika eneo la mbele ungekuwa mkubwa

Baada ya kufunga bao katika kipindi cha kwanza Mazembe walitumia muda mwingi kuzuia lakini haikutosha kwao kuondoka na uashindi nyumbani

Yanga ina mechi nyingine tatu za kufuzu robo fainali mbili zikiwa nyumbani dhidi ya Mazembe na MC Alger

Mwanzoni mwa Januari 2025 Mazembe itasafiri Tanzania kumenyana na Yanga

More Stories

APR Fc yawaondosha aigles du congo kwenye caf champions league
APR Fc yawaondosha aigles du congo kwenye caf champions league
1h ago
READ MORE β†’
Azam Fc yaomboleza kifo cha mlinda lango U20
Azam Fc yaomboleza kifo cha mlinda lango U20
4h ago
READ MORE β†’
Hatuna presha kuikabili Yanga - Kocha Gaborone United
Hatuna presha kuikabili Yanga - Kocha Gaborone United
6h ago
READ MORE β†’
Manqoba aweka tahadhari mechi dhidi ya Gaborone United
Manqoba aweka tahadhari mechi dhidi ya Gaborone United
8h ago
READ MORE β†’
Rasmi: JoΓ£o Pedro Atwaa Tuzo Ya Mchezaji Bora Wa Mwezi Wa Agosti
Rasmi: JoΓ£o Pedro Atwaa Tuzo Ya Mchezaji Bora Wa Mwezi Wa Agosti
10h ago
READ MORE β†’
Simba inalenga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, nusu fainali ni lengo kubwa
Simba inalenga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, nusu fainali ni lengo kubwa
11h ago
READ MORE β†’
Libasse awapiga chini Max na Mwajanga, Kwenye tuzo za Mwezi.
Libasse awapiga chini Max na Mwajanga, Kwenye tuzo za Mwezi.
11h ago
READ MORE β†’
Fei Toto azipotezea Simba, Yanga
Fei Toto azipotezea Simba, Yanga
13h ago
READ MORE β†’
Xtra 90 Bets : Utabiri wa mechi 21, Septemba 11 2026
Xtra 90 Bets : Utabiri wa mechi 21, Septemba 11 2026
16h ago
READ MORE β†’
UEFA champions league: matokeo ya usiku
UEFA champions league: matokeo ya usiku
1d ago
READ MORE β†’