Local,Normal News,Yanga, Simba, Azam, Fountain Gate, Singida BS

Serikali kuongeza kamera dimba la Mkapa

Joel JJ By Joel JJ
β€’
18 Dec 2024
Serikali kuongeza kamera dimba la Mkapa

Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amewaonya mashabiki wa mpira wa miguu wanaofanya vurugu uwanjani akisema watashughulikiwa, kwani Serikali ina ukarabati kwa kuweka kamera zaidi ya 200

Kauli hiyo ameitoa leo Desemba 18, 2024 katika mkutano wa Waziri Wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamagamba Kabudi jijini Dar es Salaam alipokuwa akizungumza na wadau wa habari

"Ukarabati unaofanyika katika uwanja wa Benjamin Mkapa ni mkubwa. Tunafunga camera zaidi ya 200, ukivunja kiti tuta deal na wewe," amesema

Desemba 15 zilitokea vurugu wakati wa mechi ya Kombe la Shirikisho barani Afrika baina ya Simba dhidi ya CS Sfaxien katika huo na kusababisha uharibifu wa viti zaidi ya 200 pamoja na kujeruhi baadhi ya mashabiki

Awali akitoa salamu kwa Waziri, Mwenyekiti mstaafu wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo (Taswa), Abdallah Majura alimshauri Serikali kuwaadhibiti mashabiki wanaofanya vurugu kwa kuwazuia kuingia uwanjani.

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
1h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
1h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
2h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
3h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
3h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
4h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
5h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
19h ago
READ MORE β†’