Local,Normal News,Simba, KenGold

Simba yaichapa KenGold 2-0

Joel JJ By Joel JJ
β€’
18 Dec 2024
Simba yaichapa KenGold 2-0

Simba imeendeleza ubabe wake katika ligi kuu ya NBC ikiibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya KenGold katika mchezo uliopigwa uwanja wa KMC Complex

Mabao ya kipindi cha kwanza yaliyowekwa kambani na mshambuliaji Lionel Ateba yalitosha kuihakikishia Simba alama tatu muhimu katika mchezo ambao pengine Mnyama angeweza kuondoka na ushindi mnono zaidi

Bao la kwa Ateba alifunga kupitia mkwaju wa penati dakika ya 35 baada ya Awesu Awesu kufanyiwa madhambi ndani ya eneo la hatari kisha kuongeza la pili dakika chache baadae kwa mpira wa kichwa akimaliza mpira wa kona kutoka kwa Valentine Nouma

Kipindi cha pili Simba iliendelea kutawala mchezo lakini mpaka dakika 90 zinamalizika ubao ulisoma 2-0

Ni ushindi ambao unairejesha Simba katika nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi baada ya kufikisha alama 31

More Stories

APR Fc yawaondosha aigles du congo kwenye caf champions league
APR Fc yawaondosha aigles du congo kwenye caf champions league
14m ago
READ MORE β†’
Azam Fc yaomboleza kifo cha mlinda lango U20
Azam Fc yaomboleza kifo cha mlinda lango U20
3h ago
READ MORE β†’
Hatuna presha kuikabili Yanga - Kocha Gaborone United
Hatuna presha kuikabili Yanga - Kocha Gaborone United
5h ago
READ MORE β†’
Manqoba aweka tahadhari mechi dhidi ya Gaborone United
Manqoba aweka tahadhari mechi dhidi ya Gaborone United
7h ago
READ MORE β†’
Rasmi: JoΓ£o Pedro Atwaa Tuzo Ya Mchezaji Bora Wa Mwezi Wa Agosti
Rasmi: JoΓ£o Pedro Atwaa Tuzo Ya Mchezaji Bora Wa Mwezi Wa Agosti
9h ago
READ MORE β†’
Simba inalenga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, nusu fainali ni lengo kubwa
Simba inalenga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, nusu fainali ni lengo kubwa
10h ago
READ MORE β†’
Libasse awapiga chini Max na Mwajanga, Kwenye tuzo za Mwezi.
Libasse awapiga chini Max na Mwajanga, Kwenye tuzo za Mwezi.
10h ago
READ MORE β†’
Fei Toto azipotezea Simba, Yanga
Fei Toto azipotezea Simba, Yanga
12h ago
READ MORE β†’
Xtra 90 Bets : Utabiri wa mechi 21, Septemba 11 2026
Xtra 90 Bets : Utabiri wa mechi 21, Septemba 11 2026
15h ago
READ MORE β†’
UEFA champions league: matokeo ya usiku
UEFA champions league: matokeo ya usiku
23h ago
READ MORE β†’