Manchester City wanavutiwa na beki wa Crystal Palace na Uingereza Marc Guehi, huku mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 24 akionekana kama mchezaji ambaye anaweza kuwa sehemu ya marekebisho ya safu ya nyuma ya timu hiyo. (Football Insider)
Atletico Madrid wanaweza kumnunua kwa mkopo mshambuliaji wa Manchester United Mwingereza Marcus Rashford, 27, ambaye hachezeshwi katika kikosi cha kwanza..... download Xtra 90 App



