Local,Normal News,Yanga, Mashujaa

Dube apiga hat-trik Yanga ikiichapa Mashujaa Fc 3-2

Joel JJ By Joel JJ
β€’
19 Dec 2024
Dube apiga hat-trik Yanga ikiichapa Mashujaa Fc 3-2

Yanga imeanza vyema matumizi ya uwanja wa KMC Complex wakiibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Mashujaa Fc

Ulikuwa mchezo wa kwanza kwa Yanga kutumia uwanja wa KMC Complex na wameandikisha alama tatu za kwanza

Alikuwa ni Prince Dube aliyepeleka furaha Jangwani akifunga mabao yote matatu na kuondoka na mpira

Ni hat-trik ya kwanza kufungwa msimu huu na kwa Wananchi ni furaha zaidi kwa Dube kuwa mfungaji wa hat-trik hiyo

Dube hakuanza vyema msimu lakini mabao yake matatu leo yatamuongezea kujiamini na kufufua matumaini katika mbio za ufungaji bora

Haikuwa siku nzuri kwa mlinda lango Aboubakar Khomein ambaye aliruhusu kufungwa mabao mawili ya mashuti ya mbali yaliyopigwa na David Ulomi na Idris Stambuli

Ni ushindi muhimu kwa Yanga ambao unawafanya wafikishe alama 30 katika nafasi ya tatu

More Stories

Azam Fc yaomboleza kifo cha mlinda lango U20
Azam Fc yaomboleza kifo cha mlinda lango U20
2h ago
READ MORE β†’
Hatuna presha kuikabili Yanga - Kocha Gaborone United
Hatuna presha kuikabili Yanga - Kocha Gaborone United
4h ago
READ MORE β†’
Manqoba aweka tahadhari mechi dhidi ya Gaborone United
Manqoba aweka tahadhari mechi dhidi ya Gaborone United
6h ago
READ MORE β†’
Rasmi: JoΓ£o Pedro Atwaa Tuzo Ya Mchezaji Bora Wa Mwezi Wa Agosti
Rasmi: JoΓ£o Pedro Atwaa Tuzo Ya Mchezaji Bora Wa Mwezi Wa Agosti
8h ago
READ MORE β†’
Simba inalenga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, nusu fainali ni lengo kubwa
Simba inalenga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, nusu fainali ni lengo kubwa
9h ago
READ MORE β†’
Libasse awapiga chini Max na Mwajanga, Kwenye tuzo za Mwezi.
Libasse awapiga chini Max na Mwajanga, Kwenye tuzo za Mwezi.
9h ago
READ MORE β†’
Fei Toto azipotezea Simba, Yanga
Fei Toto azipotezea Simba, Yanga
11h ago
READ MORE β†’
Xtra 90 Bets : Utabiri wa mechi 21, Septemba 11 2026
Xtra 90 Bets : Utabiri wa mechi 21, Septemba 11 2026
14h ago
READ MORE β†’
UEFA champions league: matokeo ya usiku
UEFA champions league: matokeo ya usiku
22h ago
READ MORE β†’
Wapinzani wa Simba, Mighty Wanderers kutua nchini leo wakitokea Malawi
Wapinzani wa Simba, Mighty Wanderers kutua nchini leo wakitokea Malawi
1d ago
READ MORE β†’