Juventus wamekataa nafasi ya kumsajili mshambuliaji wa Manchester United na England Marcus Rashford, 27, lakini badala yake wanamtaka mshambuliaji mwenzake wa Mashetani Wekundu Joshua Zirkzee, 23, ambaye ni mchezaji wa kimataifa wa Uholanzi. (Sun)
..... download Xtra 90 App



