Kocha wa JKT Tanzania, Ahmad Ally aliyekabidhiwa mikoba ya kukinoa kikosi cha Kilimanjaro Stars ametangaza kikosi kitakachoweka kambi ili kushiriki mashindano ya Mapinduzi Cup 2025 yatakayofanyika Pemba msimu huu zikihusika timu za Taifa