Klabu ya Singida Black Stars imetangaza kumuajiri kocha Hamdi Miloud mwenye Uraia wa nchi mbili za Ufaransa na Algeria
Miloud anatua kurithi mikoba ya Patrick Aussems ambaye kibarua chake kilisitishwa na timu hiyo baada ya mfululizo wa matokeo mabaya
Taarifa iliyotolewa na Singida BS jana imethibitisha maamuzi hayo'
"Tunapenda kumtambulisha Kocha Mkuu mpya wa Kikosi chetu,..... download Xtra 90 App



