Yanga ilifufua matumaini ya kutinga robo fainali ya ligi ya mabingwa juzi baada ya ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya TP Mazembe
Ni matokeo ambayo yaliifanya Yanga ifikishe alama 4, alama moja nyuma ya MC Alger inayoshika nafasi ya pili ikiwa na alama 5
Al Hilal tayari imejihakikishia tiketi ya robo fainali baada ya sare ya bao 1-1 dhidi ya MC Alger hapo jana
Huu hapa msimamo wa makundi yote;
ADVERTISE HERE