Jana kiungo mshambuliaji wa Simba Jean Charles Ahoua alifunga bao lake la pili katika michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika nchini Tunisia
Katika mabao matano yaliyofungwa na Simba kwenye hatua ya makundi, Ahoua amehusika mabao matatu
Alifunga katika mchezo dhidi ya Bravos na kutoa pasi ya bao katika mchezo wa kwanza dhidi ya CS Sfaxien





