Kiungo mzoefu Nassor Kapama amejiunga na Fountain Gate akitokea klabu ya Kagera Sugar
Kapama aliyewahi kuzitumikia klabu za Simba na Mtibwa Sugar, tayari ameanza kujifua na kikosi cha Fountain Gate ili kuwatumikia katika duru la pili ligi kuu ya NBC

Get the latest tactics & rumors delivered to your inbox.