Transfer - International

Tetesi za usajili Ulaya, Jumatano January 12 2025

Joel JJ By Joel JJ
β€’
8 Jan 2025
Tetesi za usajili Ulaya, Jumatano January 12 2025

Borussia Dortmund na Juventus wamejiunga na AC Milan katika mbio za kumnunua mshambuliaji wa Manchester United Muingereza Marcus Rashford, 27. (Sky Sports

Manchester City wanavutiwa na dili la kumsajili mshambuliaji wa Misri Omar Marmoush, 25

Lakini Eintracht bado hawajapokea ofa kutoka City kwa ajili ya Marmoush. (Sky Germany)

Chelsea wanaongoza katika kinyang'anyiro cha kumsajili kiungo wa kati wa Uingereza Kobbie Mainoo, 19, ambaye mazungumzo yake ya kandarasi na Manchester United yamefikia tamati. (Mail)

Mainoo, ambaye mkataba wake unaendelea hadi 2027, hajaridhishwa na ofa ya awali ya Manchester United. (Manchester Evening News)

United wako tayari kumuuza mchezaji wao yeyote, akiwemo Mainoo, winga wa Argentina mwenye umri wa miaka 20 Alejandro Garnacho na mshambuliaji wa Denmark Rasmus Hojlund, 21. (Guardian)

Nottingham Forest wanajadili mpango wa kuongeza mkataba wa beki wa Brazil Murillo, 22, ambao kwa sasa unamalizika 2028. (Athletic - usajili unahitajika)

Palmeiras wana nia ya kumsajili kiungo mshambuliaji wa Brazil Andreas Pereira, 29, lakini bado hawajakubaliana na Fulham. (Fabrizio Romano)

Manchester United wanataka kumsajili beki wa Hungary Milos Kerkez lakini bei ya pauni milioni 40 ya Bournemouth kwa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 22 inaweza kuwa kikwazo. (Team Talk) Borussia Dortmund inamfuatilia kiungo mshambuliaji wa Chelsea mwenye umri wa miaka 21 Carney Chukwuemeka. (Sky Germany)

Arsenal wanavutiwa na winga wa Athletic Bilbao Nico Williams, 22, lakini hawataweza kumnunua Mhispania huyo mwezi huu kwa sababu ya matatizo ya kifedha. (Talksport)

Southampton wanatarajia kumuuza beki wa Uingereza Kyle Walker-Peters, 27, ambaye mkataba wake unaisha msimu huu wa joto. (Football Insider)

Wamiliki wa Liverpool, Fenway Sports Group, hawajapokea ombi kutoka kwa mnunuzi yeyote wa klabu hiyo baada ya babake Elon Musk, Errol kusema kuwa mwanawe ana nia ya kuinunua Reds. (Sky Sports)

BBC

More Stories

Klopp amchagua ter stegen, kipa namba moja ujerumani
Klopp amchagua ter stegen, kipa namba moja ujerumani
4m ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
33m ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
1h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
2h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
3h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
3h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
16h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’