Uongozi Mashujaa Fc umekanusha taarifa za usajili wa Ismail Mgunda anayedaiwa kujiunga na As Vita ya DR Congo. Taarifa ya klabu hiyo inayoshiriki Ligi Kuu Bara imeeleza kuwa mchezaji huyo bado ana mkataba wa Mwaka mmoja na nusu baada ya kuitumikia Klabu kwa muda wa nusu




