TP Mazembe imekuwa timu ya kwanza kutupwa nje ya michuano ya ligi ya mabingwa kundi A baada ya kukubali kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa MC Alger hapo jana
Mazembe walihitaji kushinda mchezo huo uliopigwa Algeria jana lakini bao la mkwaju wa penati kipindi cha kwanza liliwapa MC Alger alama tatu nyumbani na kuwakatia Mazembe tiketi ya kurudi nyumbani
Matokeo hayo pia yanamaanisha Yanga..... download Xtra 90 App



