Kiungo mshambuliaji wa Dodoma Jiji, Zidane Sereri amejiunga na klabu ya Azam Fc ya jijini Dar es salaam
Zidane amesaini mkataba wa miaka mitano, utakaomfanya kudumu kwenye viunga vya Azam Complex hadi mwaka 2030