Local,Normal News,

Zanzibar Heroes mabingwa Mapinduzi Cup

Joel JJ By Joel JJ
β€’
14 Jan 2025
Zanzibar Heroes mabingwa Mapinduzi Cup

Timu ya Taifa ya Zanzibar 'Zanzibar Heroes' jana ilifanikiwa kulibakisha kombe la Mapinduzi nyumbani baada ya kuichapa Burkina Faso mabao 2-1 katika mchezo uliopigwa Gombani, Pemba

Bao la dakika za lala salama lililofungwa na Hassan Ali Cheda lilitosha kuihakikisha Heroes ushindi huo muhimu katika mchezo wa kuadhimisha kilele cha sherehe za kumbukumbu ya Mapinduzi Zanzibar

Ibrahim Hamad Hilika aliitanguliza Zanzibar Heroes mapema katika kipindi cha kwanza kabla Aboubacar Traore kuisawazishia Burkina Faso

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
1h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
1h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
2h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
3h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
3h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
4h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
4h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
19h ago
READ MORE β†’