Klabu ya Mashujaa Fc imethibitisha kukamilisha usajili wa mshambuliaji Dani Lyanga
Lyanga ametua Mashujaa akitokea klabu ya JKT Tanzania ambayo aliitumikia kwa miezi sita
Lyanga amezitumikia klabu kadhaa za ligi kuu ikiwemo Geita Gold ambayo kwa sasa inashiriki ligi ya Championship




