Mshambuliaji wa Misri Mohamed Salah, 32, anatazamiwa kupewa ofa ya pauni milioni 65 ili kumshawishi kuondoka Liverpool kuelekea Saudi Arabia msimu wa joto. (Sun)
Real Madrid wameachana na harakati zao za kumnasa mlinzi wa Liverpool Trent Alexander-Arnold, 26, na watarejea kumchukua mlinzi huyo wa Uingereza msimu wa joto. (Relevo)
Arsenal wanafikiria chaguo la kuimarisha safu yao ya..... download Xtra 90 App



