Klabu ya Mashujaa Fc imethibitisha kuinasa saini ya mlinzi mahiri wa kushoto Yahya Mbegu
Mbegu ametua Mashujaa Fc kwa mkopo wa hadi mwishoni mwa msimu akitokea klabu ya Singida Black Stars
Ni mchezaji wa pili kusajiliwa Mashujaa Fc katika dirisha dogo la usajili lililofungwa usiku wa kuamkia leo
Ayoub Lyanga nae alisajiliwa na Mashujaa Fc akitokea klabu ya JKT Tanzania



