Local,Normal News,Simba

Simba yaendeleza ubabe Kimataifa

Joel JJ By Joel JJ
β€’
19 Jan 2025
Simba yaendeleza ubabe Kimataifa

Simba imekamilisha mpango wake wa kumaliza nafasi ya kwanza hatua ya makundi kombe la Shirikisho (CAF CC) baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya CS Constantine katika mchezo uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa

Mabao ya kipindi cha pili yaliyofungwa na Kibu Denis na Lionel Ateba yalitosha kuihakikishia Simba alama tatu muhimu ambazo zinawafanya waongoze kundi A baada ya kufikisha alama 13 na kuipiku CS Constantine iliyoshuka nafasi ya pili ikiwa na alama 12

Pengine Simba ilistahili kupata ushindi mnono zaidi kama Jean Charles Ahoua na Elie Mpanzu wangetumia vyema nafasi adimu walizopata katika mchezo huo

Mnyama alitawala kwa dakika zote 90, na kuendelea kudhihrisha sasa Simba iko tayari kulileta kombe la Shirikisho Tanzania

Ushindi huo unamaanisha Simba itacheza mechi ya kwanza ugenini katika hatua ya robo fainali dhidi ya timu itakayomaliza nafasi ya pili katika kundi jingine

Milioni 10 za goli la Mama pia zimesoma katika akaunti ya Simba baada ya kufunga mabao mawili leo

More Stories

Klopp amchagua ter stegen, kipa namba moja ujerumani
Klopp amchagua ter stegen, kipa namba moja ujerumani
1m ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
30m ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
1h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
2h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
3h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
3h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
16h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’