Transfer - International

Tetesi za usajili Ulaya, Jumatano January 22 2025

Joel JJ By Joel JJ
β€’
22 Jan 2025
Tetesi za usajili Ulaya, Jumatano January 22 2025

Nottingham Forest imemfanya mshambuliaji wa Wolves na Brazil Matheus Cunha kuwa shabaha yao kuu ya Januari katika harakati za kufuzu Ligi ya Mabingwa. (Mail)

Arsenal pia wameonyesha nia ya kutaka kumsajili Cunha mwenye umri wa miaka 25 katika uhamisho wa Januari. (Fichajes)

Chelsea wanatazamiwa kufanya mazungumzo zaidi na Manchester United kuhusu winga wa Argentina Alejandro Garnacho, 20, ambaye thamani yake ni pauni milioni 50. (Telegraph - usajili unahitajika)

United imemuulizia mchezaji wa Bournemouth na Hungary Milos Kerkez, 21, Wolves na Algeria Rayan Ait-Nouri, 23, na kiungo wa Crystal Palace na Muingereza Tyrick Mitchell, 25, huku kipaumbele cha Ruben Amorim kikiwa kumsajili winga wa kushoto. ( The I)

Chelsea inataka pauni milioni 70 kabla ya kumuachia mshambuliaji wa Ufaransa Christopher Nkunku, 27, kujiunga na Bayern Munich. (Sky Sports), nje Winga wa Manchester United na Brazil Antony, 24, anakaribia kukamilisha uhamisho wa mkopo kuelekea Real Betis. (Sky Sports)

Tottenham na RB Leipzig ndio vilabu viwili vikuu vinavyojaribu kumsajili kiungo wa kati wa Southampton Muingereza Tyler Dibling mwenye umri wa miaka 18. (Sky Germany)

Juventus na Borussia Dortmund zinawania kumsajili beki wa Chelsea na Ureno Renato Veiga, 21, ambaye anaweza kupatikana kwa mkopo au uhamisho wa kudumu. (Times)

Marseille imekuwa klabu ya hivi punde kuonyesha nia ya kutaka kumsajili mshambuliaji wa Manchester United Marcus Rashford, 27. (L'Equipe)

BBC

More Stories

Klopp amchagua ter stegen, kipa namba moja ujerumani
Klopp amchagua ter stegen, kipa namba moja ujerumani
3m ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
32m ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
1h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
2h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
3h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
3h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
16h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’