Local,Transfer News,Mashujaa

Mgunda kutua AS Vita

Joel JJ By Joel JJ
β€’
23 Jan 2025
Mgunda kutua AS Vita

Klabu ya Mashujaa imefikia makubaliano ya kusitisha mkataba na aliyekuwa mchezaji wao, Ismail Mgunda

Kupitia taarifa waliyotoa katika ukurasa wao wa mtandao wa kijamii, Mashujaa wamethibitisha kuondoka kwa Mgunda huku wakimtakia kila la kheri katika majukumu yake mapya

"Asante sana shujaa wetu kwa kipindi chote tulichokuwa pamoja kwenye himaya hii ya Watanganyika. Kila la kheri kwenye majukumu yako mapya," waliandika Mashujaa Fc

Mgunda anatarajiwa kujiunga na klabu ya AS Vita ya Congo DRC inayonolewa na aliyekuwa kocha wa Azam, Youssouph Dabo

Nyota huyo alikuwa DR Congo wiki chache zilizopita, Mashujaa Fc walimrejesha nchini wakati mazungumzo baina ya timu hizo yakiendelea

Inaelezwa makubaliano ya kimaslahi baina ya Mashujaa na AS Vita yamekwenda vizuri hivyo dili la Mgunda limekamilika

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
2h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
2h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
3h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
3h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
4h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
5h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
5h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
19h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
20h ago
READ MORE β†’