Local,Normal News,Yanga, Simba, Azam, Fountain Gate, Singida BS

Droo makundi Afcon 2025 kufanyika Jumatatu

Joel JJ By Joel JJ
β€’
24 Jan 2025
Droo makundi Afcon 2025 kufanyika Jumatatu

Droo ya hatua ya makundi ya AFCON 2025 itafanyika Jumatatu, Januari 27 mjini Rabat, Morocco. Tanzania ni miongoni mwa timu zitakazoshiriki michuano hiyo ambayo itafanyika baadae mwaka huu ikiwekwa poti namba 4

Huu hapa mpangilio wa mataifa ambapo CAF inatumia viwango vya FIFA vya mwezi uliopita

  1. Morocco, Senegal, Misri, Algeria, Nigeria na Ivory Coast
  2. Kamerun, Mali, Tunisia, Afrika Kusini, DR Congo na Burkina Faso
  3. Gabon, Angola, Zambia, Uganda, Equatorial Guinea na Benin
  4. Msumbiji, Komoro, Tanzania, Sudan, Zimbabwe na Botswana

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
2h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
2h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
3h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
3h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
4h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
5h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
5h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
19h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
20h ago
READ MORE β†’