Local,Normal News,Tabora, Simba

Leseni kuwakwamisha nyota wapya Tabora United

Joel JJ By Joel JJ
β€’
29 Jan 2025
Leseni kuwakwamisha nyota wapya Tabora United

Kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Simba ambao utapigwa Jumapili Februari 02 katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, klabu ya Tabora United huenda ikashindwa kuwatumia nyota wapya waliowasajiliwa na timu hiyo katika dirisha dogo kutokana na kukosa leseni

Imeelezwa Tabora United bado haijalipa Tsh Milioni 20 kwa ajili ya wachezaji hao 7 kupatiwa leseni

Wachezaji waliosajiliwa na Tabora United kwenye dirisha dogo ni Jean Noel, Akandwanaho, Cedric Zemba, Mwanengo, Fikirini Bakari, Chobwedo Ramadhan na Yasin Mustafa

Walina asali hao kutoka mkoani Tabora wanaweza kukumbana na changamoto kama waliyokumbana nayo duru ya kwanza katika mchezo dhidi ya Simba ambapo waliwakosa nyota wao wote wa kigeni kutokana na changamoto kama hiyo ya leseni

Hata hivyo angalau wakati huu wana uhakika wa kupata huduma ya nyota wao wengine waliobaki kikosini kwani wachezaji ambao hawana leseni ni wale waliosajiliwa kwenye dirisha dogo

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
1h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
1h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
2h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
3h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
3h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
4h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
5h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
19h ago
READ MORE β†’