Klabu ya Singida Black Stars imeeleza kushtushwa na taarifa ya Kocha wao Mkuu Miloud Hamdi kujiunga na Yanga
Taarifa iliyotolewa na Singida BS mapema leo, imedai Yanga wamemtambulisha Hamdi pasipo kufuata utaratibu