Local,Normal News,Pamba, Azam, Namungo, Dodoma

Azam Fc mikononi mwa Pamba Jiji Mwanza

Joel JJ By Joel JJ
β€’
9 Feb 2025
Azam Fc mikononi mwa Pamba Jiji Mwanza

Mikiki mikiki ya ligi kuu ya NBC leo inaingia raundi ya 18 ambapo michezo miwili inataraji2a kupigwa

Jijini Mwanza, Pamba Jiji itakuwa mwenyeji wa Azam Fc katika mchezo utakaopigwa uwanja wa CCM Kirumba

Timu zote zimetoka kushinda mechi zao zilizopita ambapo Pamba Jiji iliichapa Dodoma Jiji bao 1-0 ugenini huku Azam Fc wkiilaza KMC mabao 2-0

Baada ya kupoteza mchezo uliopita, Namungo Fc watakuwa nyumbani kuikaribisha Dodoma Jiji katika mchezo mwingine utakaopigwa saa 1 usiku

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
1h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
1h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
2h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
3h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
3h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
4h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
5h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
19h ago
READ MORE β†’