Local,Normal News,Simba, Prisons

Simba yaipania Prisons

Joel JJ By Joel JJ
β€’
10 Feb 2025
Simba yaipania Prisons

Baada ya mapumziko ya siku chache, kikosi cha Simba kilirejea mazoezini jana kujiandaa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Tanzania Prisons ambao utapigwa kesho Jumanne, Februari 11 katika uwanja wa KMC Complex

Baada ya kudondosha alama mbili kwa kulazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Fountain Gate katika mchezo uliopita, ni wazi Simba inapiga hesabu za kushinda mchezo huo ili kuendelea kubaki katika eneo salama kwenye mbio za ubingwa

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba Ahmed Ali amesema Kwa sasa hawana tena nafasi ya kudondosha alama iwe nyumbani au ugenini kwenye 'ngwe' hii ya lala salama

"Ni kweli, tumerejea uwanja wa mazoezi kujiandaa na mchezo dhidi ya Tanzania Prison Jumanne February 11 katika Uwanja wa KMC. Focus yetu kwa sasa ni kupata ushindi katika mchezo huo," alisema Ahmed

More Stories

Klopp amchagua ter stegen, kipa namba moja ujerumani
Klopp amchagua ter stegen, kipa namba moja ujerumani
3m ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
32m ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
1h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
2h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
3h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
3h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
16h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’