International,Transfer News,

Tetesi za usajili Ulaya, Jumatatu Februari 17 2025

Joel JJ By Joel JJ
β€’
17 Feb 2025
Tetesi za usajili Ulaya, Jumatatu Februari 17 2025

Newcastle itakuwa tayari kumuachia Alexander Isak kuondoka kwa Β£83.3m (100m euros) katika dirisha kubwa lijalo kama haitafuzu michuano ya Klabu bingwa Ulaya, huku Barcelona, Liverpool, Arsenal na Chelsea miongoni mwa vilabu vinavyomuania mhambuliaji huyo Msweden mwenye umri wa miaka 25. (Sport - in Spanish)

Atletico Madrid inamtamka kiungo mnigeria wa Leicester, mwenye umri wa miaka 28, Wilfred Ndidi. (Caught Offside)

Everton itamfukuzia mlinzi wa kati mfaransa wa Burnley, Maxime Esteve (22), iwapoa mlinzi wake muingereza Jarrad Branthwaite, 22, ataondoka katika katika dirisha kubwa la majira ya joto. (Sun - subscription required)

Chelsea imekuwa ikiwafuatilia kwa karibu mapacha wa Middlesbrough's Anton na Bailey Palmer wenye miaka 16, huku Tottenham, Aston Villa na Brighton pia zikionyesha nia viungo hao wanaochezea timu ya taifa ya Uingereza ya chini ya miaka 17. (TBR Football)

Everton wanatarajia kufufua tena nia yao ya kumsaka winga mfaransa wa Lyon Rayan Cherki, baada ya kumtaka katika dirisha lililopita la Januari. (Football Insider)

Klabu kadhaa za ligi kuu England zinamfuatilia mshambuliaji kinda wa Ireland anayechezea Shamrock Rovers, Michael Noonan, 16, amaye amekuwa mfungaji bora wa pili kinda kwenye historia ya michuano vilabu ya UEFA, alipofunga dhidi ya Molde kwenye michuano ya Conference League alhamis iliyopita. (Times - subscription required)

Real Madrid inajaribu kuachana na ligi kuu ya Hispania ili kwenda kushiriki ligi nyingine kuonyesha kupinga uongozi wa rais wa La Liga,Javier Tebas kwa kile wanachodai uwepo wa maamuzi ya upendeleo. (Sport - in Spanish)

BBC

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
7m ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
36m ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
2h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
2h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
3h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
3h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
16h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’