KenGold yafufua matumaini kubaki Ligi Kuu

Joel JJ By Joel JJ β€’ 18th February 2025

KenGold yafufua matumaini kubaki Ligi Kuu

Ken Gold imeendelea kuweka hai matumaini ya kubaki ligi kuu msimu huu baada ya kuichapa Kagera Sugar bao 1-0 katika mchezo uliopigwa uwanja wa Sokoine

Ni ushindi wa pili kwa KenGold katika mechi nne zilizopita ambao wachimba dhahabu hao wamevuna alama 7 kati ya alama 12

KenGold imefikisha alama 13, sasa ikihitaji alama nne ili kuondoka katika eneo la kushuka daraja

Unaweza..... download Xtra 90 App

More Stories

Artan kuchezesha Fainali ya CECAFA Kagame Cup 2026
Artan kuchezesha Fainali ya CECAFA Kagame Cup 2026
Today, READ MORE β†’
Mpanzu akabidhiwa majukumu ya Doumbia Simba
Mpanzu akabidhiwa majukumu ya Doumbia Simba
Today, READ MORE β†’
Hersi atamba, Yanga haijamaliza kusajili bado mmoja
Hersi atamba, Yanga haijamaliza kusajili bado mmoja
Today, READ MORE β†’
Ridhiwani Kikwete Ajiunga na Baraza la Wadhamini la Yanga
Ridhiwani Kikwete Ajiunga na Baraza la Wadhamini la Yanga
Today, READ MORE β†’
Yanga watangaza bajeti ya Bilioni 36 kwa msimu wa 2026/27.
Yanga watangaza bajeti ya Bilioni 36 kwa msimu wa 2026/27.
Today, READ MORE β†’
Rc. Chalamila atangaza kujiunga na wananchi katika mkutano mkuu wa Yanga.
Rc. Chalamila atangaza kujiunga na wananchi katika mkutano mkuu wa Yanga.
Today, READ MORE β†’
Coastal Union yatangaza rasmi Coastal Union Festival 2026
Coastal Union yatangaza rasmi Coastal Union Festival 2026
Today, READ MORE β†’
Yanga yamtambulisha namba 6 ni Fred Ngoma
Yanga yamtambulisha namba 6 ni Fred Ngoma
Today, READ MORE β†’
Danny Welbeck Atua Chelsea FC Rasmi, Asaini Mkataba wa Miaka Miwili
Danny Welbeck Atua Chelsea FC Rasmi, Asaini Mkataba wa Miaka Miwili
Today, READ MORE β†’
Simba yatambulisha jezi mpya 2026/27
Simba yatambulisha jezi mpya 2026/27
Yesterday, READ MORE β†’