Liverpool huenda ikamuweka sokoni Darwin Nunez, 25, msimu huu wa joto, huku mshambuliaji huyo wa Uruguay akikosa muda wa kucheza mara kwa mara Anfield. (The Athletic)
Manchester United inaongoza mbio za kumsajili kiungo wa kati wa Crystal Palace na England, Adam Wharton, 21, licha ya kwamba Juventus nayo bado inaonyesha nia ya kutaka kumnunua. (CaughtOffside)





