Local,Normal News,Azam, Simba

Simba, Azam Fc zatoshana nguvu kwa Mkapa

Joel JJ By Joel JJ
β€’
24 Feb 2025
Simba, Azam Fc zatoshana nguvu kwa Mkapa

Mchezo wa ligi kuu kati ya Simba dhidi ya Azam Fc uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa umemalizika kwa matokeo ya sare ya mabao 2-2

Ni Mzizima Derby, mechi kali iliyokuwa na upinzani kutoka kwa kila upande, Simba wakitawala mchezo huku Azam Fc wakitumia mashambulizi ya kushitukiza

Azam Fc walitangulia kufunga bao la uongozi mapema dakika ya kwanza Gibril Sillah akimalizia shambulizi la kushitukiza

Elie Mpanzu aliirejesha Simba mchezoni dakika ya 25 akimalizia kazi nzuri iliyofanywa na Kibu Denis

Kipindi cha pili Simba iliendelea kupeleka mashambulizi langoni kwa Azam Fc na ikafanikiwa kufunga bao la pili dakikaa ya 76 Abdulrazak Hamza akimalizia kwa kichwa mipra wa adhabu uliopigwa na Jean Charles Ahoua

Hata hivyo Azam Fc walirejesha bao hilo dakika 2 kabla ya mchezo kumalizika Zidane Sereli akifunga baada ya pasi ya Feisal Salum baada ya kumzidi mbio nahodha Mohammed Hussein 'Zimbwe Jr'

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
1h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
1h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
2h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
3h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
3h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
4h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
4h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
19h ago
READ MORE β†’