International,Transfer News,

Tetesi za usajili Ulaya, Jumanne Februari 25 2025

Joel JJ By Joel JJ
β€’
25 Feb 2025
Tetesi za usajili Ulaya, Jumanne Februari 25 2025

Manchester City inamfukuzia kiungo Mjerumani wa Bayer Leverkusen Florian Wirtz, 21, huku kuna uswezekano mkubwa kiungo Muingereza James McAtee, 22, kuelekea upande wa pili (Mail)

Mshambuliaji wa Sweden Alexander Isak anaweza kuruhusiwa kuondoka kama Newcastle haitafuzu klabu bingwa Ulaya msimu ujao, huku vilabu vya Liverpool na Arsenal vikimtaka nyota huyo mwenye miaka 25 (Mirror)

Mshambuliaji wa Ademola Lookman, 27, ataondoka Atalanta baada ya kuzozana na kocha Gian Piero Gasperini (Sky Sports Switzerland - in French)

Newcastle inafkiria kumsajili Lookman katika dirisha lijalo na inaweza kukutana na ushindani kutoka Manchester United, inayomtaka pia (Teamtalk)

Kiungo wa Ufaransa Paul Pogba, 31, ambaye yuko huru baada ya kuondoka Juventus mwezi Novemba, anaweza kujiunga na Inter Miami wakati adhabu yake ya kutumia dawa za kusisimua misuli itakapomalizika mwezi ujao. Hiyo ni baada ya kukutana na mmiliki wa klabu hiyo David Beckham. (Manchester Evening News).

Kiungo Mbelgiji Kevin de Bruyne anasubiri kuona kama bado Manchester City itamuhitaji msimu ujao, huku mkongwe huyo akikubalia wazo la kucheza muda mchache kama atasaini mkataba mpya (Mirror), external.

Kiungo wa Croatia Luka Modric, 39, anaweza kusalia Real Madrid kwa muda mrefu atakavyotaka, hiyo ni kwa mujibu wa kocha Carlo Ancelotti. (Fabrizio Romano)

Real Madrid haiko kwenye mazungumzo na mlinzi Mholanzi Virgil van Dijk, 33, ambaye mkataba wake na Liverpool unamalizika msimu huu (Marca - in Spanish).

Manchester City ina matumaini ya kuibwaga Arsenal katika mbio za kumsajili kiungo kinda wa Norway, Sverre Nypan, 18, kutoka Rosenborg. (TBR Football)

Tottenham imeanza mazungumzo na kiungo wa Uruguay Rodrigo Bentancur kuhusu mkataba mpya, ambapo mkataba wake wa sasa unamalizka mwishoni mwa msimu ujao (Mail).

Kocha wa England Thomas Tuchel amefanya mazungumzo na beki wa kulia Arsenal Ben White kuhusu kurejea timu ya taifa ambapo mlinzi huyo kwa mara ya mwisho kuichezea england ilikuwa mwaka 2022 (Sun)

BBC

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
46m ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
1h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
2h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
3h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
4h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
4h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’