Local,Normal News,Simba, Coastal

Simba katika mtego wa Coastal Union Arusha

Joel JJ By Joel JJ
β€’
1 Mar 2025
Simba katika mtego wa Coastal Union Arusha

Kocha Msaidizi wa Simba Selemani Matola amesema maandalizi yao kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Coastal Union yamekamilika

Matola amesema wanatambua mchezo huo utakuwa mgumu lakini anaamini maandalizi mazuri waliyofanya yatawapa nafasi ya kushinda mchezo huo

Nahodha huyo wa zamani wa Simba amesema mechi zote za duru ya pili ni ngumu hivyo jambo muhimu kwao ni kupambana kila mechi ili kupata matokeo

"Mechi zote za mzunguuko wa pili ni ngumu hivyo tunatarajia hata mchezo wa kesho (leo) dhidi ya Coastal Union utakuwa mgumu"

"Hata hivyo tumekuwa na maandalizi mazuri kuelekea mchezo huo, nina imani kubwa tutakwenda kushinda mchezo huu," alisema Matola

Nae nahodha wa Simba Mohammed Hussein 'Zimbwe Jr' amesema wako mkoani Arusha kwa kazi moja tu, kuchukua alama tatu dhidi ya Coastal Union

"Tumekuja kwenye mchezo huu wa ugenini kutafuta pointi tatu, hilo ndio jambo muhimu pasipo kuangalia matokeo ya mechi zilizopita kwani yameshapita," alisema Zimbwe Jr

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
44m ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
1h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
2h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
3h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
4h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
4h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’