Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza majina ya waamuzi watakaoshiriki Kozi ya VAR itakayofanyika uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam Machi 3-7, 2025 chini ya usimamizi wa FIFA