Local,Normal News,Yanga, Simba, Azam, Fountain Gate, Singida BS

Ngorongoro Heroes mguu sawa Afcon U20

Joel JJ By Joel JJ
β€’
8 Apr 2025
Ngorongoro Heroes mguu sawa Afcon U20

Timu ya Ngorongoro Heroes inatarajia kuingia kambini Jumatano, Aprili 9, 2025 kwaajili ya maandalizi ya mashindano ya Afcon U20 itakayopigwa Misri kuanzia Aprili 27 huku fainali ikitarajiwa kuchezwa May 18

Ngorongoro ilikata tiketi ya kushiriki michuano hiyo baada ya kutwaa ubingwa CECAFA 2024 kwa kuipiga Kenya mabao 2-1 kwenye mchezo wa fainali uliochezwa katika Uwanja wa KMC Complex jijini Dar es Salaam

Ngorongoro itakwenda kupambana na timu nyingine 11 ambazo ni Morocco, Misri, Senegal, Siera leone, Ghana, Nigeria, DR Congo, Jamhuri ya Afrika ya Kati, Kenya, Tanzania, Zambia na Afrika kusini

More Stories

Klopp amchagua ter stegen, kipa namba moja ujerumani
Klopp amchagua ter stegen, kipa namba moja ujerumani
3m ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
32m ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
1h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
2h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
3h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
3h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
16h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’