Bournemouth wamekubali kuwa wataachana na beki wa Kihispania Dean Huijsen msimu huu wa joto, lakini mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 20 anapendelea kuhamia klabu nyingine ya ligi kuu England badala ya Bayern Munich au Real Madrid. (Talksport)
Manchester United wanamfuatilia kipa wa Southampton Aaron Ramsdale, mwenye umri wa miaka 26, kufuatia wasiwasi kuhusu kiwango cha kipa wa..... download Xtra 90 App



