Klabu ya Stellenbosch iliendeleza mwendo wake mzuri kwenye Ligi Kuu ya Afrika Kusini (DStv Premiership) kwa ushindi wa mabao 1-0 dhidi ya AmaZulu, katika mechi iliyochezwa uwanja wa Moses Mabhida, siku chache kabla ya nusu fainali yao ya kihistoria ya Kombe la Shirikisho la CAF dhidi ya Simba SC.
Bao pekee la mchezo huo lilifungwa na Anicet Oura..... download Xtra 90 App



