Local,Normal News,Prisons, KMC, JKT, Dodoma

Prisons, KMC katika vita ya kujinusuru kushuka daraja

Joel JJ By Joel JJ
β€’
18 Apr 2025
Prisons, KMC katika vita ya kujinusuru kushuka daraja

Tanzania Prisons na KMC zinakabiliwa na mtihani wa kujinasua kwenye nafasi za chini kwenye msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara zitakapokabiliana na JKT Tanzania na Dodoma Jiji leo

Prisons inayoshika nafasi ya 14, ikiwa na pointi 24 baada ya michezo 26 itaikaribisha JKT Tanzania inayoshika nafasi ya saba, ikiwa na pointi 32 ikicheza michezo 25 Uwanja wa Sokoine, Mbeya

Nayo KMC iliyo nafasi ya 13, ikiwa na pointi 27 baada ya kucheza mechi 25 itakuwa mwenyeji wa Dodoma Jiji yenye pointi 34 baada ya kucheza michezo 26 katika Uwanja wa KMC Complex, Mwenge, Dar es Salaam

Kama Prisons itashinda mchezo huo dhidi ya JKT itafikisha pointi 27 na kulingana na KMC lakini zitatofautiana kwa mabao ya kufunga na kufungwa. Lakini kama JKT ikishinda itafikisha pointi 35 na kuishusha Dodoma Jiji yenye pointi 34 kwenye nafasi ya sita

Ushindi kwa Dodoma Jiji dhidi ya KMC utaifanya kufikisha pointi 37 na kulingana na Tabora United iliyo nafasi ya tano lakini zikitofautiana kwa mabao ya kufunga na kufungwa

Hata hivyo, kama KMC itaifunga Dodoma Jiji itafikisha pointi 30 na kupanda mpaka nafasi ya tisa ikizishusha Pamba Jiji (27), Namungo (28), Coastal Union (28) na Fountain

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
1h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
1h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
2h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
3h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
3h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
4h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
4h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
19h ago
READ MORE β†’