Arsenal wanaangalia uwezekano wa kumsajili winga wa Ufaransa wa Bayern Munich mwenye umri wa miaka 28, Kingsley Coman. (Star)
Rais wa Real Madrid, Florentino Perez, anataka kumsajili mshambuliaji wa Norway wa Manchester City mwenye umri wa miaka 24, Erling Haaland. (Fichajes)
Manchester United na Liverpool ni miongoni mwa klabu zinazopenda kumsajili mshambuliaji wa Ufaransa wa Lyon..... download Xtra 90 App



