Local,Normal News,Yanga, Kagera, Simba

Kamwe, Mazanzala wakumbana na rungu la TFF

Joel JJ By Joel JJ
β€’
19 Apr 2025
Kamwe, Mazanzala wakumbana na rungu la TFF

Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) ilikutana kwa ajili ya kupitia na kutoa uamuzi wa mashauri yaliyowasilishwa mbele yake

Miongoni mwa mashauri hayo yaliwahusu wasemaji wa vilabu vya Yanga, Simba na Kagera Sugar ambao ni Ali Kamwe, Ahmed Ali na Hamis Mazanzala ambao walituhumiwa kwa makosa ya kuchochea UMMA

Katika maamuzi yake, Kamati imewatia hatiani Kamwe, na Mazanzala na kuwapa adhabu ya kulipa faini ya Tsh Milioni 5 pamoja na onyo la kutofanya kosa la kimaadili ndani ya kipindi cha miaka miwili

Upande wa msemaji wa Simba Ahmed Ali yeye amenusurika na adhabu hiyo baada ya kutopatikana na hatia

Lakini adhabu kama hiyo imemkumba mwanachama wa Simba Mohammed Khamis Mohammed ambaye pia alifikishwa mbele ya Kamati kutokana na makosa ya uchochezi

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
1h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
1h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
2h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
3h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
3h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
4h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
4h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
19h ago
READ MORE β†’