Uongozi wa Tabora United jana usiku, Aprili 18, 2025 ulitangaza kuachana na kocha Genesis Mangombe kutoka Zimbabwe kutokana na mwenendo usiovutia kwenye Ligi
Klabu hiyo ikamtangaza Simonda Kaunda kutoka Zambia kuwa mrithi wa nafasi iliyoachwa na Mangombe




