Aston Villa wamefanya majadiliano ya ndani kuhusu uwezekano wa kumnunua kiungo wa kati wa Manchester City na Ubelgiji Kevin de Bruyne, 33, ambaye ataondoka Etihad Stadium msimu huu wa joto. (Sky Sports)
Leeds wanafikiria kumfukuza meneja Daniel Farke licha ya Mjerumani huyo kupata nafasi ya kurejea Ligi Kuu ya Uingereza. (Mail)
Liverpool, Real Madrid na Manchester City ni miongoni..... download Xtra 90 App



