Local,Normal News,Yanga, Coastal, Singida, Azam

Ligi ya Muungano kuanza Pemba leo

Joel JJ By Joel JJ
24 Apr 2025
Ligi ya Muungano kuanza Pemba leo

Msimu wa pili wa ligi ya Muungano unazinduliwa rasmi leo kule Gombani, Pemba kwa mechi ya kwanza ya robo fainali kupigwa

 Singida Black Stars itazindua pazia la michuano hiyo kwa kumenyana na wenyeji JKU katika mchezo utakaopigwa saa 11 jioni

Mshindi wa mchezo huo atatinga nusu fainali na kumsubiri mshindi wa robo fainali ya tatu kati ya KMKM dhidi ya Azam Fc, mchezo utakaopigwa kesho Ijumaa, saa 1:15 usiku

Mapema Ijumaa, mechi ya robo fainali ya pili itapigwa kati ya Zimamoto dhidi ya Coastal Union, mchezo utakaopigwa saa 10 jioni

Mshindi wa robo fainali ya pili, atachuana na mshindi wa robo fainali ya nne kati ya KVZ dhidi ya Yanga mchezo utakaopigwa Jumamosi, saa 1:15 usiku

Mechi za nusu fainali zitapigwa April 28 na April 29 wakati mchezo wa fainali utapigwa May 1, 2025

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
1h ago
READ MORE →
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
1h ago
READ MORE →
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
2h ago
READ MORE →
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
3h ago
READ MORE →
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
3h ago
READ MORE →
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
4h ago
READ MORE →
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
4h ago
READ MORE →
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE →
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE →
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
19h ago
READ MORE →