Kampuni ya Kimataifa ya kutengenza vifaa vya Michezo Diadora ndiyo itakayotengeneza jezi za klabu ya Simba baada ya kuingia ushirikiano na kampuni ya Jayrutty
Akizungumza katika Makao Makuu ya Diadora ukanda wa SADC huko Afrika Kusini, Afisa Mtendaji Mkuu wa Jayrutty, Joseph Rwegasira amesema leo wametimiza moja ya ahadi waliyotoa kuipeleka Simba anga za Kimatifa





