Yanga vs Simba ni Juni 15

Joel JJ By Joel JJ β€’ 6th May 2025

Yanga vs Simba ni Juni 15

Licha ya Yanga kugomea mchezo namba 184 dhidi ya Simba uliohirishwa March 08, Bodi ya Ligi (TPLB) leo imekata mzizi wa fitina kwa kuupangia tarehe mchezo huo

Kulingana na maboresho ya ratiba yaliyotolewa TPLB mapema leo, mchezo huo sasa utapigwa Juni 15

Aidha mechi mbili kuhitimisha msimu sasa zitapigwa Juni 18 na Juni 22 ambapo zote zitachezwa katika muda mmoja ili kuepuka upangaji..... download Xtra 90 App

More Stories

Coastal Union yatangaza rasmi Coastal Union Festival 2026
Coastal Union yatangaza rasmi Coastal Union Festival 2026
Today, READ MORE β†’
Yanga yamtambulisha namba 6 ni Fred Ngoma
Yanga yamtambulisha namba 6 ni Fred Ngoma
Today, READ MORE β†’
Danny Welbeck Atua Chelsea FC Rasmi, Asaini Mkataba wa Miaka Miwili
Danny Welbeck Atua Chelsea FC Rasmi, Asaini Mkataba wa Miaka Miwili
Today, READ MORE β†’
Simba yatambulisha jezi mpya 2026/27
Simba yatambulisha jezi mpya 2026/27
Today, READ MORE β†’
Simba yaichapa Singida lakini timu zote zaaga mashindano
Simba yaichapa Singida lakini timu zote zaaga mashindano
Yesterday, READ MORE β†’
Polisi Tanzania yanasa wino wa Beno Kakolanya msimu ujao
Polisi Tanzania yanasa wino wa Beno Kakolanya msimu ujao
Yesterday, READ MORE β†’
TFF yatoa onyo kwa klabu zisizofanya usajili FIFA Connect
TFF yatoa onyo kwa klabu zisizofanya usajili FIFA Connect
Yesterday, READ MORE β†’
Yanga Yaifunga Magereza Dar Es Salaam 7-2 Mechi ya Kirafiki
Yanga Yaifunga Magereza Dar Es Salaam 7-2 Mechi ya Kirafiki
Yesterday, READ MORE β†’
Fei Toto ajumuishwa kikosi cha Azam Fc pre-season Rwanda
Fei Toto ajumuishwa kikosi cha Azam Fc pre-season Rwanda
Yesterday, READ MORE β†’
Ngao ya Jamii 2026 Kupigwa Amaan Complex Zanzibar
Ngao ya Jamii 2026 Kupigwa Amaan Complex Zanzibar
Yesterday, READ MORE β†’