Chelsea wameanza mazungumzo ya kumsajili winga wa AC Milan Rafael Leao, huku timu hiyo ya Serie A ikiwa tayari kumruhusu mchezaji huyo wa kimataifa wa Ureno mwenye umri wa miaka 25 kuondoka kwa kima cha takriban Β£63.5m. (Caught Offside)
Arsenal imeanza mazungumzo na mlinzi wa kati wa Ufaransa William Saliba, 24, kuhusu mkataba mpya huku Real Madrid ikionyesha nia ya kumsajili. (Athletic..... download Xtra 90 App



