Bayern Munich hawakusudii kuboresha ofa yao ya mkataba kwa winga wa Ujerumani, Leroy Sane, licha ya mawakala wapya wa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 29 - ambaye mkataba wake unaisha msimu huu wa joto kuwasilisha pendekezo jipya kwa mabingwa hao wa Bundesliga. (Florian Plettenberg, Sky Sports Germany)
Mkurugenzi wa michezo wa Napoli, Giovanni Manna, anaendelea kukaa kimya kuhusu..... download Xtra 90 App



