Local,Normal News,Local,Normal News,Simba, Berkane

Simba safarini Morocco leo

Joel JJ By Joel JJ
β€’
13 May 2025
Simba safarini Morocco leo

Kikosi cha Simba kitaondoka jijini Dar es salaam leo Jumanne, May 13 kuelekea Morocco tayari kwa mchezo wa mkondo wa kwanza fainali ya kombe la Shirikisho (CAF CC) dhidi ya RS Berkane

Mchezo huo utapigwa Jumamosi, May 17 katika uwanja wa Manispaa ya Berkane, saa 4 usiku kwa saa za Tanzania

Msafara wa Simba ambao utajumuisha wachezaji, benchi la ufundi, viongozi na mashabiki utaondoka saa 3 usiku kwa kutumia usafiri wa ndege y ATCL iliyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dk. Samia Suluhu Hassan

Itakuwa itakuwa safari ya takribani saa 7 hadi jiji la Casablanca ambapo kikosi kitatua jijini humo Alfajiri ya Jumatano, May 14

Simba inakwenda Morocco ikiwa na dhamira ya kusaka matokeo mazuri ili kujiweka katika nafasi nzuri ya kutwaa taji la Shirikisho katika mchezo wa mkondo wa pili utakaopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa, May 25

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
44m ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
1h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
2h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
3h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
4h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
4h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’