Fanali ya kwanza ya kombe la Shirikisho barani Afrika (CAF CC) imemalizika RS Berkane wakitumia vyema uwanja wa nyumbani kwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0
Dakika 15 za kwanza ndizo zilizovuruga hesabu za Simba katika mchezo huo wakiruhusu mabao mawili mepesi yakitokana na kukosekana umakini katika ulinzi
Hata hivyo baada ya kuingia mabao hayo Simba ilirejea mchezoni na unaweza..... download Xtra 90 App



